Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.
Upcoming SlideShare
Media homework coca cola and minions
Next
Download to read offline and view in fullscreen.

Share

Maswali muhimu kabla ya biashara

Download to read offline

Unapima vipi uwezo wako katika kufanikiwa?.Jiulize maswali yafuatayo
-Je ninaweza kuvumilia nitapokutana na magumu?
-Je nina nia ya dhati kujiongoza mwenyewe?
-Je maamuzi ninayofanya yatafanya mabadiliko ya kweli?
-Je nina uwezo wa kuona kila kona ihusuyo biashara?
-Je nina msukumo utaoniwezesha kufanya kazi kwa bidii?
-Je nina uelewa wowote wa biashara yoyote?

Haimaanishi kila mfanyabiashara mwenye maendeleo alikuwa na majibu ya "NDIYO" kwa maswali hayo juu.Yawezekana ukawa na "HAPANA" kwa baadhi ya maswali.Usivunjike moyo tafuta msaada na ushauri utakaokusaidia kufika malengo yako!.

Related Books

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

Related Audiobooks

Free with a 30 day trial from Scribd

See all

Maswali muhimu kabla ya biashara

 1. 1. MASWALI MUHIMU KABLA YA KUANZA BIASHARA
 2. 2. 1.Mtu anawezaje kufanikiwa kupitia ujasiliamali? Uchunguzi unaonesha kuwa wajasiliamali wenye maendeleo wana tabia fulani zinazofanana.Uchunguzi huu hautabiri mafanikio kwako,Ila unaweza kukupa msingi mzuri katika kuanza biashara kwa kukufanya uwe mwangalifu katika kujua kipi ni bora au muhimu kukijua kiundani kabla hujaingia kwenye biashara.
 3. 3. .
 4. 4. 1.Mtu anawezaje kufanikiwa kupitia ujasiliamali? Unapima vipi uwezo wako katika kufanikiwa?.Jiulize maswali yafuatayo ● -Je ninaweza kuvumilia nitapokutana na magumu? ● -Je nina nia ya dhati kujiongoza mwenyewe? ● -Je maamuzi ninayofanya yatafanya mabadiliko ya kweli? ● -Je nina uwezo wa kuona kila kona ihusuyo biashara? ● -Je nina msukumo utaoniwezesha kufanya kazi kwa bidii? ● -Je nina uelewa wowote wa biashara yoyote? ● ● Haimaanishi kila mfanyabiashara mwenye maendeleo alikuwa na majibu ya "NDIYO" kwa maswali hayo juu.Yawezekana ukawa na "HAPANA" kwa baadhi ya maswali.Usivunjike moyo tafuta msaada na ushauri utakaokusaidia kufika malengo yako!.
 5. 5. 2.Ninatambua vipi kama ninaweza kuanza biashara? ● Biashara ndogondogo zina vitu vingi vinavyofananafanana.Yafuatayo ni sifa za kukuwezesha kufanikiwa katika biashara. ● -Kuwa tayari kujitoa ● Ujasiliamali unshitaji kujitoa katika muda,hali na maamuzi pia. ● -Uchangamfu ● -Utahitajika kuwachangamkia watu tofautitofauti kwa mfano wateja,wafanyakazi(uliowaajiri au unaofanya nao kazi katika biashara mfano wasafirishaji) na watu wa mauzo(wasambazaji) kama hupendi kuongea na watu usio wajua, biashara inaweza kuwa ngumu kwako. ● -Uwezo wa kuongoza na kujiongoza ● Watu watahitaji majibu ya maswali yao(bidhaa/huduma).Hivo basi yakupasa kujua ni namna gani unajipanga katika kuhakikisha unawapa majibu yao kwa wakati.Wakati huohuo unaongeza idadi ya watu wenye maswali. ● Jipime uwezo wako na jifunze kutoka kwa watu waliofanikiwa katika hiyo biashara.Je unaweza kuzidisha huduma na kupita wengine? Je unahitaji elimu gani ili kukidhi mahitaji ya wateja wako? ● ● Pitia majarida,vipeperushi mbalimbali zinazohusu biashara ili upate kujifunza kutoka sehemu na watu tofautitofauti.
 6. 6. 3.Ninawezaje kukuza soko langu? Kwanza yabidi kujua wateja wako ni akina nani.Pia inabidi ujue kiundani kuhusu soko lako!. ● -Je soko lako ni lipi hasa? ● -Wateja wako wanatoka wapi hasa?(mijini,vijijini,watalii n.k) ● -Ni kwa nini wanunue kwako?(Vitu vya kuangalia ubora,bei,mazingira,huduma,promosheni) ● -Vitu gani wateja wanaviangalia katika bidhaa? ● Utafiti utakupa majibu ambayo yana zaidi ya uzoefu wako katika biashara!
 7. 7. 4.Je kuna mtu yeyote anaweza kuwa na majibu kwa maswali yangu? Hapa yakubidi utambuwe uwezo wa watu tofautitofauti walio kwenye biashara na washauri wa kibiashara kupitia semina,radio,television n.k
 8. 8. 5.Kwa nini nataka kuanza kufanya biashara? -Kuwa bosi wa maisha yako -Kukuza kipato -Tatizo la ajira(Unemployment)
 9. 9. 6.Ni biashara gani nataka kuifanya? .
 10. 10. 7.Wateja wangu ni akina nani? .
 11. 11. 8.Huduma/bidhaa gani biashara yangu itatoa!? .
 12. 12. 9.Je nipo tayari kutumia muda na hela ili kuanzisha biashara? .
 13. 13. 10.Ni tofauti gani nitaiweka katika biashara tofauti na wengine? .
 14. 14. 11.Biashara yangu nitaifanyia wapi? .
 15. 15. 12.Je ninahitaji kuajiri mtu/watu? (wangapi?) .
 16. 16. 13.Bidhaa zangu nitazipata wapi/kwa nani? .
 17. 17. 14.Kiasi gani cha pesa nitakihitaji? .
 18. 18. 15.Je nitahiyaji mkopo . AFISA MIKOPO
 19. 19. 16.Ni muda gani itanichukua mpaka bidhaa/huduma kuwaa sokoni? .
 20. 20. 17.Ni muda gani utanichukua mpaka kuanza kupata faida? .
 21. 21. 18.Nani ni washindani zangu? .
 22. 22. 19.Niuzaje bidhaa zangu? .
 23. 23. 20.Biashara hiyo ni halali?(Au ninawezaje kufanya taratibu za kisheria kwa hiyo biashara?) .
 24. 24. 21.Kodi zipi ninapaswa kulipa kwa biashara yangu? .
 25. 25. 22.Aina zipi za Bima nazihitaji katika biashara yangu? .
 26. 26. 23.Namna gani nitaisimamia Biashara yangu? .
 27. 27. 24.Nitatangaza vipi biashara yangu .
 • JoyceSteven

  May. 13, 2021
 • ssuser3e8ce3

  Mar. 21, 2016

Unapima vipi uwezo wako katika kufanikiwa?.Jiulize maswali yafuatayo -Je ninaweza kuvumilia nitapokutana na magumu? -Je nina nia ya dhati kujiongoza mwenyewe? -Je maamuzi ninayofanya yatafanya mabadiliko ya kweli? -Je nina uwezo wa kuona kila kona ihusuyo biashara? -Je nina msukumo utaoniwezesha kufanya kazi kwa bidii? -Je nina uelewa wowote wa biashara yoyote? Haimaanishi kila mfanyabiashara mwenye maendeleo alikuwa na majibu ya "NDIYO" kwa maswali hayo juu.Yawezekana ukawa na "HAPANA" kwa baadhi ya maswali.Usivunjike moyo tafuta msaada na ushauri utakaokusaidia kufika malengo yako!.

Views

Total views

543

On Slideshare

0

From embeds

0

Number of embeds

3

Actions

Downloads

2

Shares

0

Comments

0

Likes

2

×